Usifanye hivi kwa mkeo kama unataka kumfungulia biashara

Najua ila nachomaanisha nikuwa wajue humuhimu wako hivi unajua wanachokipandikiza wanawake kwa watoto
Wanawake wanawaambia watoto ujinga sana😁 sema kwa damu yangu mimi huo ujinga sidhani kama utafua dafu.

Nina binti yangu ambaye akikua atakuwa jembe langu hata mama yake akileta fyoko tutaishi tu mtu wa kunipikia na kunifulia yupo tayari. Mwanamke akizaa toto la kiume akalijaza ujinga ndio unakuwa umekula hasara full suit!
 
Asilimia kubwa ya migogoro inayovunja ndoa ni wanamke kuwa na financial freedom.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuendesha maisha yake bila msaada wa mwanaume lazima kiumane.
 
Kuna mwamba alifanya hivi sasa hivi anakopa hela kwa watu ili tu asitumie hela za mke wake kumuonyesha kwamba hamtegemei..
 
Asilimia kubwa ya migogoro inayovunja ndoa ni wanamke kuwa na financial freedom.
Mwanamke akiwa na uhakika wa kuendesha maisha yake bila msaada wa mwanaume lazima kiumane.
Ukiona mwanamke anakuwa hivyo kuna uwezekano mkubwa kabla hajajipata ulikuwa humtunzi ipasavyo na kama unamtunza basi ni kwa manyanyaso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…