KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
kuanzia valentine hii nabadirika!, nitakuwa namapenzi yadhati kwako, sitaki tena kukuchezea usichana wako! nitakupenda kukulinda na kukutunza mpaka ushangae!. ntahakikisha nakupa penzi rutubishi likunenepeshe mbele nanyuma mpk wakukome mafisi...Hujawahi kunipa zawadi siku zote hizo uje unipe siku ya valentine. Maajabu haya