kuanzia valentine hii nabadirika!, nitakuwa namapenzi yadhati kwako, sitaki tena kukuchezea usichana wako! nitakupenda kukulinda na kukutunza mpaka ushangae!. ntahakikisha nakupa penzi rutubishi likunenepeshe mbele nanyuma mpk wakukome mafisi...Hujawahi kunipa zawadi siku zote hizo uje unipe siku ya valentine. Maajabu haya
Acha porojo we KENZYkuanzia valentine hii nabadirika!, nitakuwa namapenzi yadhati kwako, sitaki tena kukuchezea usichana wako! nitakupenda kukulinda na kukutunza mpaka ushangae!. ntahakikisha nakupa penzi rutubishi likunenepeshe mbele nanyuma mpk wakukome mafisi...
View attachment 3234292
🤣🤣🤣 na wewe usipokee zawadiTrue The Watchman umeongea point mie sitoi mapenzi hadi kieleweke
Uende geto lake kajenga liniUsiende geto kwa mshikaji mwenyewe
Uwe makini na kinywaji upewachooo hahaaaa chupa ifunguliwapo lazima uwepoo usijepewa mchanganyiko wa k-vant, nyagi etc