Kuvua viatu ILI unihudumie hiyo haipo na siwezi kununua au kwenda maeneo yenye sheria HIZO HATA kama Nina viatu vya kupachika..
Naingia pokea PESA yangu utafanya usafi hutaki subiri jamaa ZAKO iwe biashara ndogo au KUBWA jifunze biashara sio maghetoni