Huo ujinga umeenea sana huko Daslamu,tunapenda kupoteza muda kwa vitu vya kipumbavu, mimi nahitaji kuingia mara moja niangalie nini kitanifaa ninunue nianze kuvua viatu, nikose hapo dukani kwako nivae viatu niende duka la jirani yako nianze kuvua tena.
Kuna mawili, sivui viatu au nikiona hayo masharti siingii napita.