Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hakuna mahali kwenye vitabu vyake vitakatifu Mungu amesema lazima kuoa au kuolewa. Mfano Yesu na Paulo waliamua kutooa.Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
Hata Paulo kuna sehemu anasema kama mkiweza kubaki kama mimi yaani kutooa akasema ni sawa tu