Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hakuna mahali kwenye vitabu vyake vitakatifu Mungu amesema lazima kuoa au kuolewa. Mfano Yesu na Paulo waliamua kutooa.Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
Wanadanganywa na mashetaniVijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu,
Aliwaandikia Wakorinto, wewe ni mkorinto?Hata Paulo kuna sehemu anasema kama mkiweza kubaki kama mimi yaani kutooa akasema ni sawa tu
Akili za kitoto hizi, na wewe unataka kuingia kwenye ndoa kwa akili hizi?π€Aliwaandikia Wakorinto, wewe ni mkorinto?
Uwe na heshima kijana, Nina mke na huenda watoto wakubwa kama wewe!Akili za kitoto hizi, na wewe unataka kuingia kwenye ndoa kwa akili hizi?π€
Kuwa na mke na watoto haimaanishi ukiongea pumba tukuache. Umetoa boko sana kwenye comment yako #23Uwe na heshima kijana, Nina mke na huenda watoto wakubwa kama wewe!
Hahahahaha soma kwa utulivu. Usisome kwa mihemko, Rudi kasome Biblia Yako, mbona Iko wazi kabisa? Au ubishi tu wa asubuhi??Kuwa na mke na watoto haimaanishi ukiongea pumba tukuache. Umetoa boko sana kwenye comment yako #23
Ukilielewa hili andiko naamini utaondoa hayo mawazo yako mgandoHahahahaha soma kwa utulivu. Usisome kwa mihemko, Rudi kasome Biblia Yako, mbona Iko wazi kabisa? Au ubishi tu wa asubuhi??
Amen ila Mimi namzungumzia Paul, sio Kila kitu cha Paul kilikua addressed kwetu sote, anyway, Vijana oeni! Acha kushabikia ujingaUkilielewa hili andiko naamini utaondoa hayo mawazo yako mgando
2 Timotheo 3:16-17 SRUV
16 Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;
17 ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema
Bado haujalielewa hilo andikoAmen ila Mimi namzungumzia Paul, sio Kila kitu cha Paul kilikua addressed kwetu sote, anyway, Vijana oeni! Acha kushabikia ujinga
Ndio wanaopata changamotoWanaume ndiyo wameonesha kuguswa zaidi na hii kampeni ya kukataa ndoa inayohamasishwa na wanaume wenzao!
Nilitegemea wanawake ndiyo wangechachamaa!
Huu upinde wa mvua ni hatari sana, unawapinda vijana1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.
2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao ndio zina matatizo sio ndoa.
3: Walioathiliwa na vuguvugu la upinde wa mvua duniani. Vuguvugu hili limejielekeza kufuta hamu ya ndoa na kuleta gender confusion katika akili za vijana wasiojitambua.
4: Wanandoa walioachika au kuachana kwa sababu za kujitakia, au kusalitiwa. Sasa uzoefu wao binafsi wanataka kuuhamishia kwa dunia nzima.
Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
1; Waliochezea nafasi za ndoa na sasa wakati umepita nawamekata tamaa.
2: Wanaotumia muda mwingi kusoma na kufuatilia mambo hasi kuhusu ndoa. Kwa hiyo wanadistorted view kuhusu ndoa. Akili zao ndio zina matatizo sio ndoa.
3: Walioathiliwa na vuguvugu la upinde wa mvua duniani. Vuguvugu hili limejielekeza kufuta hamu ya ndoa na kuleta gender confusion katika akili za vijana wasiojitambua.
4: Wanandoa walioachika au kuachana kwa sababu za kujitakia, au kusalitiwa. Sasa uzoefu wao binafsi wanataka kuuhamishia kwa dunia nzima.
Vijana muoe na kuoana. Ukimtanguliza Mungu, utagundua ni mapepo tu ndio yako nyuma ya sauti na maandishi unayosikia yakipinga ndoa.
Mkuu Yesu aliweza yashinda majaribu yote na mtume Paul piaHakuna mahali kwenye vitabu vyake vitakatifu Mungu amesema lazima kuoa au kuolewa. Mfano Yesu na Paulo waliamua kutooa.
Hata Paulo kuna sehemu anasema kama mkiweza kubaki kama mimi yaani kutooa akasema ni sawa tu
Mtu yupo kwenye ndoa anajifanya kayashinda majaribu lakini huko nje ana michepuko kama yoteMkuu Yesu aliweza yashinda majaribu yote na mtume Paul pia
Na ndo maana katika kitab chake mtume Paul alisema kama huwez yashinda majaribu ni heri uoe
Asa wewe mwenzangu na mm akipita tu kajala hapo ushawasha kengele rafiki angu ππππ afu huon dhambi kujilinganisha na YESU em acha maramoja rafiki.
Hilo wasema wewe but concern yangu ni tofautiMtu yupo kwenye ndoa anajifanya kayashinda majaribu lakini huko nje ana michepuko kama yote
Sasa kuna tofauti gani na ambaye hajaoa lakini ana mademu?