Ni kesi muhimu sana, tatizo Je , Tuna Makakama? Kuna Makahama Kuu yenye ubavu was kukataa "amri kutoka juu"?
Concern yangu ni hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachokizungumza hakina ukweli moja ya chanzo cha habari ni media na Professor Assad alihukumiwa na Bunge baada ya kuonekana akiongea na chombo cha habari cha magharibi ina maana Spika aliangalia mahojiano yale akamwita.Na ndio maana wakienda mahakamani wanashindwa, hiyo yote ni kuonyesha wasomi wetu wengi hajui wanachosimamia, utamkuta huyo mwanasheria wa haki za binadam hajui katiba na miongozo ya bunge inasemaje, wao wanakimbilia humu JF kisha wanaona hoja yao inashabikiwa vipi kisha wanavimba vichwa, wakienda huko wanashindwa wanaanza kusema haki haikutendeka.
PovuKama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Kuna wengine wanatumia ya wengine.Kitu pekee ninachoamini kwa mwanasiasa ni jina lake tu.
Utakuwa umesoma aya ya kwanza ukaja kuchangia mada bila kusoma mada yoteKama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Wewe ndio unalalamika hapo katuhabarisha tujue kinachoendelea. Kama kakukera pita kuleKama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Mkuu naomba nikujulishe kuwa ile tu watu kwenda kufungua mashitaka tayari ni ushindi kwa wahusika maana kwa sasa dunia ni kitongoji.Ni kesi muhimu sana, tatizo Je , Tuna Makakama? Kuna Makahama Kuu yenye ubavu was kukataa "amri kutoka juu"?
Concern yangu ni hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama itasema inaogopa kugonganisha mihimili.
Angekuwa Ndugai ndio angesema hivyo.Mahakama itasema inaogopa kugonganisha mihimili.
Yes tunayo, mimi concern yangu ni muda, bunge linavunjwa May 28!Ni kesi muhimu sana, tatizo Je , Tuna Makakama? Kuna Makahama Kuu yenye ubavu was kukataa "amri kutoka juu"?
Concern yangu ni hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app