Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

Usiginwaji wa Katiba Bungeni: Watetezi wa Haki za Binadamu nchini walaani. Wawakumbushia umuhimu wa kila raia kuilinda Katiba ya Nchi

CCM walikaa wakathibitisha uamuzi (Nyalandu) na wakamtaarifu Spika with attachments, wao Chadema hawajaambatanisha chochote .....Yaan wanafanya mambo kisekondari kbs
 
Katiba inasema kiongozi akivunja sheria au katiba ukalalamike mitandaoni? Si ufuate taratibu fungua kesi mahakamani upinge bwana Mwambe kuendelea kuwa mbunge. sasa unatulilia sisi tukusaidie nini?
 
Maeneo mengi ya posta masista duuuu wengi msije mkawachukulia wengi ni maaskari. Hahahjajajajaj
tapatalk_1589182436281.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kuna njia nyingine ipi badala ya Mahakama. Naomba nifahamishe usinitusi.
Hakuna njia hapo hata mahakama zimepoteza sifa .mahakimu na wanasheria wamejitoa ufahamu kwa sababu ya njaa na uwoga
 
Back
Top Bottom