Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndugai anapewa maelekezo wala hana tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimsingi awamu ya 5 ni kituko , si serikaliLINAPOKUJA SUALA LA MSINGI KABISA MARA NYINGI NDIPO SERIKALI YETU INAPOONESHA UDHAIFU WA HALI YA JUU MNO
Kesi ya nyani kula mahindi iende kwa hakimu Ngedere, Mwanadamu ategemee nini!!
Hao wanaosema kesi iende mahakamani wanajua nini kinafuata.
Mwezi November, Mbatia ataenda Bungeni ashinde au ashindwe! Wapinzani wote hakuna atakayerudi Bungeni ashinde au ashindwe.
Juzi kulikuwa na kituko kingine cha Polisi kuamuru Wabunge wakamatwe bila kujua ni kwa kosa gani...
Wakati umefika Mahakama nayo ianikwe, ubabaishaji wao umetosha na kuchosha.Mahakama itasema inaogopa kugonganisha mihimili.
Kama Lipumba aliendelea kuwa mwenyekiti pamoja na kuutangazia ulimwengu kuwa amejiuzulu nafasi yake kama mwenyekiti na kuachana na siasa.Mi binafsi niwapongeze hao CILAO Kwa kuweza kufuatilia kwa ukaribu na kutuelimidha juu ya haki za kiraia.
Mmewaaeleza waaandishi wavhabari kuwa pamoja na Cecil Mwambe kutangaza kupitia vyombo vya habari Ni wazi atakuwa ameshapoteza uanachama wa chama chake na kupoteza sifa ya kuwa mbunge...
Wewe unaona yuko sahihi?Kama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Pole Shetani, acha kujitoa fahamuSpika alidai kuwa barua iliyotoka kwa katibu mkuu, kuwa mbunge amejivua uanachama, haikua na viambatanisho vya ushahidi!
Kama mbunge alijivua kwenye media, inafaa kuwa ni ushahidi?
Je, Katibu mkuu wa chama alikua na uhakika gani kama spika alishinda kwenye mitandao na kuona mbunge aliyejivua?
Mitandaoni ni mahala pa kupeana taarifa kama umekerwa kafie mbele.Kama amekiuka Katiba si mchukue hatua kuliko kulalamika tu huku mtandaoni. Jamani inakera. Mahakama si zipo.
Tunamwomba Mwanasheria Mkuu wa Serikali ajitokeze hadharani atafafanulie inakuwa Lazaro Nyalandu wa Ccm aliweza kupoteza Ubunge wake mara tu alipojiunga na Chadema na inakuwaje Cecil Mwambe wa Chadema aendelee kuwa Mbunge licha ya kujiunga na CCM.Njia aliyoitumia Mh...
Tatizo lako ni kuwa hujui kwamba hujui.Nyinyi mtakuwa mnapigwa knock out kila mara kwa kuwa ni mbumbumbu wa sheria!
Unachoambiwa ni kuwa haipo. Wewe si umeiona, unaijua, basi ndio wa kuileta.Hauna jinyamazie upate usingizi.Kama hujui hata sheria hizo zinapatikana wapi ndiyo unadhihirisha zaidi umbumbumbu wako.
Exactly , let it be documentedMkuu naomba nikujulishe kuwa ile tu watu kwenda kufungua mashitaka tayari ni ushindi kwa wahusika maana kwa sasa dunia ni kitongoji.
Tunacho hitaji ni kuweka kumbukumbu sawa maana hii nchi tumeikuta na tutaiwacha kwa wajukuu zetu
In God we Trust
Kwa wewe unaona tuna mahakama, lkn kutokana na hukumu za hovyo zilizotolewa na mahakam zetu, ushahidi utakutoa nje. Muda siyo tatizo, kuna prayers ambazo zitaombwa . Moja ni kurusidha hela za Umma maana yeye hana stahili ya kuwa mbunge.Yes tunayo, mimi concern yangu ni muda, bunge linavunjwa May 28!
P
Dreaming!!Exactly , let it be documented
Duh...!.?Kwa wewe unaona tuna mahakama, lkn kutokana na hukumu za hovyo zilizotolewa na mahakam zetu, ushahidi utakutoa nje.
The last batch ya best judges imemalizika na akina Rutakangwa na wenzke kama 10 hivi ambao wamestaafu na walikuwa Court of Appeal. Waliobaki na UPE!Duh...!.?
P