Usihangaike higy

Usihangaike higy

Shit! That didn’t come out right.

Ni hivi, we binti. Usisumbue wengine ilhali mwenyewe nipo. Una swali, uliza kwa mimi mhusika.

Sidhani kama unataka vita na mimi.

Shukrani jazilan kwa wewe “bro”......nadhani unajijua.
 
turudin tu nyumbani kumenoga mwanakwetu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we Ngabu hiyo avatar umenikumbusha lemutuz ebu rudisha avatar tuliyoizoea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we Ngabu hiyo avatar umenikumbusha lemutuz ebu rudisha avatar tuliyoizoea

Ile nikiiweka watu wananiandama bana. Wanasema sina masikio eti! Heheheheee.

Ila ahsante na wewe. Kama hujui ahsante ya nini muulize wakunyumba wako.
 
Ile nikiiweka watu wananiandama bana. Wanasema sina masikio eti! Heheheheee.

Ila ahsante na wewe. Kama hujui ahsante ya nini muulize wakunyumba wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ni kweli huna masikio jamani nimeambiwa asante ya nini nimecheka mnooo Ngabu huna akili wewe
 
Back
Top Bottom