Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Ushawahi kujiuliza kwanini umeota askari anakukamata na kukuweka kituo?
Kuna wengine wanaota ndoto za majoka na wanyama wengine.
Basi nikwambie tu,ndoto ni fahamu zako na ikiwa huzitambui fahamu zako basi ni ngumu kutafsiri ndoto,unapoenda kwa viongozi wa dini sometimes wanakosea.
Lets say ndoto ya nyoka binafsi nyoka kwangu ni mdudu anaetisha ni ndivyo hivo kuwa kwenye ndoto ukiona ndoto ya nyoka amefariki ujue kuna ubaya umeepuka,
Mfano kuona askari anakukimbiza,binafsi askari natambua ni raia mwenye majukumu ya kulinda amani,raia na mali zake na kukimbia ni ishara ya kukwepa kitu,sasa katika ndoto hii inaonesha una makosa umefanya na kuna jambo linakuandama.
Mbarikiwe.