sychellis
Senior Member
- Oct 16, 2018
- 149
- 138
Mkuu mimi nimeota juzi nimepigiwa simu niende kwenye interview then kuna bibi akawa anapita pembeni nioivyomaliza kuonhea na simu akili yangu ikawaza kwamba yule bibi ndo kanisaidia ivyo nikamkimbilia karibu nikasema asante, ila yule bibi akajibu asante ile ya kushangaa alafu akasema asante ya nini?na jinsi alivyokua anatamka neno asante mimi nikawa nasikia maumivu. Hapo ina maana gani?