Usihonge mchepuko

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Habari za jumapili wakuu?

Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani ya uhakika.

Wanasema hivi, '' kijana usiwe unahonga honga hovyo, kuhonga hovyo maana yake unakuwa unanunua bidhaa, na siku utakaposhindwa kuhonga hutopata huduma. Ni ajabu sana nyie vijana kuhonga nyumba, gari, au fedha n.k ambazo ungetumia wewe na familia yako zingekusaidia huko mbeleni kwenye changamoto mbalimbali.

Kijana, nakusihi muhonge mkeo na watoto wako tu, kwa sababu hawa watakusaidia siku utakapoishiwa au siku utakapokutana na balaa lolote; lakini mchepuko hawezi kufanya hivyo, zaidi ya kukufukuza na kusahau yale mema yote uliyomtendea.''

Haya, wakulungwa kazi kwenu...
 
We pambana nao tu, siku ukiishiwa hata buku utowaona
Formula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.
 
Formula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.
Nipo hapa na hawa wazee wastaafu wananipa madini, we endelea kutupa hela
 
Formula ya kumla slay queen ipo hivi. Ili umpate slay basi cha kwanza ni kutafta hela na cha pili ni kumentain status ya hela. So nikiishiwa hela means nimeishiwa formula ya kutafta hela na si slay kazimaliza.
Hahahaha. Haya bana. Kila mtu na atumie jasho lake apendavyo na avune anapowekeza.
 
Mbaya ni kupenda mchepuko na kuanza kuwekeza huko. Akitibua unakuwa na stress za kiwango cha juu. Unarudi nyumbani huna amani na mkeo aniashia kuwa victim.
Penzi la mchepuko liko proportion na mkwanja unaokata.
 
Mke na Watoto hawahongwi bali wanahudumiwa maana wanatanbulika Kisheria na wana haki zote
 
Watu wengi wanafanya ngono na kuzani wanafanya mapenzi kumbe ni vitu viwili tofauti.

Hata kupata utamu na kupata raha ni vitu 2 tofauti.

Utamu ni temporary raha iko a bit continuous.

Kupata raha ni zaidi ya kupata utamu.

Apatae Mpenzi Patner wa kumpa raha anapata zaidi ya utamu!

Utamu hupatikana wakati wa kula au kinywa kitu kwa wakati ule,

Lakini raha hububujika moyoni na nafsini na kuakisi furaha usoni kiasi.

Kumpata mwenye bonded chemistry na wewe ni neema kama si bahati!
 
Ukweli mtupu. Mimi mwenyewe nahitaji kuacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…