Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Habari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku tukibadilishana mawazo hasa kuhusu wanaume kuhonga michepuko, huku familia zao zikiwa hazina ramani ya uhakika.
Wanasema hivi, '' kijana usiwe unahonga honga hovyo, kuhonga hovyo maana yake unakuwa unanunua bidhaa, na siku utakaposhindwa kuhonga hutopata huduma. Ni ajabu sana nyie vijana kuhonga nyumba, gari, au fedha n.k ambazo ungetumia wewe na familia yako zingekusaidia huko mbeleni kwenye changamoto mbalimbali.
Kijana, nakusihi muhonge mkeo na watoto wako tu, kwa sababu hawa watakusaidia siku utakapoishiwa au siku utakapokutana na balaa lolote; lakini mchepuko hawezi kufanya hivyo, zaidi ya kukufukuza na kusahau yale mema yote uliyomtendea.''
Haya, wakulungwa kazi kwenu...