Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Ukiyakataa mabadiliko yatakubadilisha kilazima na yatakuumiza.
Utaona mtu mbaya, ana dharau kumbe si kweli. Mlikuwa washkaji ni kweli kuna kitu kilikuwa kinaleta ushkaji wenu. Kama ni shule hapa mlikuwa mnaongea lugha moja. Mmmetoka hapo ww ni boda boda yeye ni mhasibu. Hapa hata mkikutana mtaongea nini? Story zitakuwa fupi muda mwingi mnapishana. Unatuma text hajibu kwa wakati wakati mwingine hafanyi kusudi ni majukumu yake.
Mlipotezana na mtu muda mrefu mnaonana mnabadilishana na namba tena lakini hata mkiwasiliana story unakuta si ndefu Huenda sababu tayari kila mtu anawaza tofauti kile kilichowaunganisha hapo awali hakipo tena.
Kuna watu wana lawama sana.
Oooh mwanangu amekuwa na dharau, si dharau bond tena hakuna. Tunaweza kuwa na ukaribu kama kuna hustle zinaelekeana. Kinyume na hapo tutaongea mambo ya zamani then hatuwezi kuwa na story tena.
Kweli tulikuwa tunaruka majoka wote club, madem kwa sana etc. ila now nimeoa nina familia nimebadili mwenendo wa maisha yangu unaona nakutenaga kweli???
Kama urafiki usivyoombwa ndivyo ambavyo ukiamua kuisha huisha bila kujali na kuulazimisha kuendelea tena ni ngumu.
Tusiishi kwenye historia sijui nilimsaidiaga sana. Ni kweli ulimsaidiaga wakati ule tena mlifaana sana ila kwa sasa huenda msifaane. Hustle tayari ziko tofauti.
Ni mara chache mnaweza kukutana watu mlikuwa washkaji zamani then ushkaji ukaendelea.