Usiingie ktk mahusiano ya mapenzi ukitegemea utafurahishwa kila kitu na uliyenaye

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
 
Mapenzi Biashara Tafuta pesa, Raha ni Pesa yako Tu. Kua makini unawekeza wapi....
 
Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
Pambania nafsi yako, achana na mtu baki ambaye umemkuta ukubwani
 
Back
Top Bottom