Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Mapenzi Biashara Tafuta pesa, Raha ni Pesa yako Tu. Kua makini unawekeza wapi....Usiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
Pambania nafsi yako, achana na mtu baki ambaye umemkuta ukubwaniUsiingie ktk mahusiano kwa kutegemea mtu uliyenaye atakufurahisha kwa kila kitu . Binadamu yeyote mpe asilimia 50 tu zengine bakiza kwaajili yako , ukiwa na expectations kubwa na mtu trust me lazma uwe disappointed
Wengi hawalitambui hiliPambania nafsi yako, achana na mtu baki ambaye umemkuta ukubwani
Kwa kiasi kikubwa pesa inahusika , inakuwa mbaya kwa mtu anayependa mazimaMapenzi Biashara Tafuta pesa, Raha ni Pesa yako Tu. Kua makini unawekeza wapi....