Usiingilie malumbano ya watu kama hujui chanzo, utabeba ugomvi usiokuhusu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu Wakuu,

Kama kuna malumbano (reply) umeiona na haujui malumbano yalipoanzia basi ni vyema ukakaa kimya na kupotezea.

Hapa JF kuna watu wanaingilia maongezi yasiowahusu na mwisho wa siku wanabeba maugomvi yasiokuwa yao.

ACHA SHOBO MKUU WANGU.

PEACE
 
Oya Mwanangu Janja ....Nchi ya Shobo hii au Humuoni Anko Mwashambwa ?
 
Sahihi kuna mmoja Jana aliingilia Jambo lisilo mhusu nikamjumuisha pumbavu.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…