Usiingilie malumbano ya watu kama hujui chanzo, utabeba ugomvi usiokuhusu

Usiingilie malumbano ya watu kama hujui chanzo, utabeba ugomvi usiokuhusu

Habari zenu Wakuu,

Kama kuna malumbano (reply) umeiona na haujui malumbano yalipoanzia basi ni vyema ukakaa kimya na kupotezea.

Hapa JF kuna watu wanaingilia maongezi yasiowahusu na mwisho wa siku wanabeba maugomvi yasiokuwa yao.

ACHA SHOBO MKUU WANGU.

PEACE
Charles kilian tena
 
Dukuduku namba 5

CHADEMA nao kwa malumbano, ati Chemichemi.
 
Back
Top Bottom