usiipite thread hii tafadhali nisaidie

Mwana JF

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
26
Reaction score
1
mimi nilimaliza form 4 mwaka jana na nlipata division 4 ya 31.. nlipata D 4 katika masomo ya History,civics,kiswahil na english.. sasa kaka/dada zangu naombeni ushauri wenu nkasomee kozi gani kulingana na hayo matokeo maana mi bado sijielewi... kwa msaada zaidi unaweza kuntajia na vyuo vya kusomea hizo kozi mi nipo dar. natanguliza shukrani kwa wote mtakaonishauri. asanteni
 
Unaweza kusomea Library (Ukutubi) ikiwa kama unaona itakusaidia. Sina uhakika sana vyuo vinavyotoa mafunzo, jaribu bagamoyo, Ruaha University College, SUA n.k
 
Kama ungekua una D 5 ningekushaur ukasome certfcate then diploma ukamalizie na degree lakin kwa qualifcation zako naona utafanikiwa kusoma mpaka diploma tu mdogo wangu kwa maana kuingia degree ni mpaka uwe na D 5 za O-level na uwe diploma holder! Vingnevyo ukarudie form 4 japokua si kushaur sana! Ni hayo tu!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

La msingi,jiulize mwenyewe.... unataka kuwa nani? unataka kufanya kazi gani baada ya masomo yako?
Umesema hujielewi...ukijibu hayo maswali hapo juu basi utaanza kujielewa.

Kama una ndoto, kwa mfano, kuwa rubani. kwa matokeo hayo uliyoyapata mwaka jana hayatoshi kukupelekea kuwa rubani au mfamasia. Itakubidi ufanye marudio/usome tena form 4 na kufanya mtihani mpya.

Kama kurudia mtihani ni kikwazo, unataka kuwahi maisha kuna kozi ya ualimu wa fasta fasta. Ulizia hili wizara ya elimu.

Lakini ndugu baada ya form 4 ulitakiwa kufanya masomo ya kidato cha sita. Vyenginevyo uombe mafunzo ya amali/ufundi stadi katika vyuo vya VETA. link -- Vocational Education and Training Authority -- VETA --
 
Umejaribu kucheki IJA? Hebu wagoogle uone qualifications zao. Andika institute of judiciary administration lushoto. Afu na wewe uwe serious na shule basi jamani.
 

shukrani mkuu nimekupata
 

sawa nkasomee diploma ila kozi gani inafaa kwa marks hizo¿
 

D-5 za o-level asome diploma, then degree?!!!!! chuo gani hicho kinapokea wa hivo? kazi kwelikweli!!!!!!
 
sawa nkasomee diploma ila kozi gani inafaa kwa marks hizo¿

mdogo wangu jiandae urudie mtihani tu! na usikate tamaa, maana kwa alama zako kudahiliwa kwa kozi mbalimbali ni ngumu sana!
 

Enzi zetu ukifail kwa kupata 4, unawaza ni namna gani utasafisa cheti kwa kurudia mitihani. Lakini siku hizi mtu kafail bado anauliza kozi ya kusomea? Ama kweli dunia imekwisha au ndo mambo ya digitali. Purely irresponsibility.
 
Tanzania Instute of Accountanty (TIA) branch ya mbeya wanatoa speciak program ya miezi mitatu then ukifaulu unaingia kwenye diploma program......wacheki kama vp!
 
D-5 za o-level asome diploma, then degree?!!!!! chuo gani hicho kinapokea wa hivo? kazi kwelikweli!!!!!!
ha ha ha kwl daras gumu a said awe na d 5 za o level then awe diploma holder! ni kiswahil tu hcho jaman sio d5 akachukue degree!
 
ha ha ha kwl daras gumu a said awe na d 5 za o level then awe diploma holder! ni kiswahil tu hcho jaman sio d5 akachukue degree!

na nlianza kwa kusema akasome certfcate then diplom amalizie kwa degree wap pagumu ndugu
 
mi nakushauri usubiri kwanza part II ya matokeo yako kama point zikibadilika ndo uje tukupe ushauri kwasababu saiv tutakushauri kulingana na point zako, uwenda baada ya matokeo mapya kutoka unaweza pata point nzuri zaidi ambazo zitakupa fursa ya kusoma kozi nzuri.
 
TiA ,USHIRIKA, CBE WAtakupokea piga certrifcate mwaka 1 kisha dip miaka 2 then uamue mwenyewe kufanya kazi au kusoma barchelar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…