authentic
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 663
- 241
mimi nilimaliza form 4 mwaka jana na nlipata division 4 ya 31.. nlipata D 4 katika masomo ya History,civics,kiswahil na english.. sasa kaka/dada zangu naombeni ushauri wenu nkasomee kozi gani kulingana na hayo matokeo maana mi bado sijielewi... kwa msaada zaidi unaweza kuntajia na vyuo vya kusomea hizo kozi mi nipo dar. natanguliza shukrani kwa wote mtakaonishauri. asanteni
Labda certificate ya journalism pale ubungo au ilala