usiipite thread hii tafadhali nisaidie

usiipite thread hii tafadhali nisaidie

mimi nilimaliza form 4 mwaka jana na nlipata division 4 ya 31.. nlipata D 4 katika masomo ya History,civics,kiswahil na english.. sasa kaka/dada zangu naombeni ushauri wenu nkasomee kozi gani kulingana na hayo matokeo maana mi bado sijielewi... kwa msaada zaidi unaweza kuntajia na vyuo vya kusomea hizo kozi mi nipo dar. natanguliza shukrani kwa wote mtakaonishauri. asanteni

Labda certificate ya journalism pale ubungo au ilala
 
hongera sana kwa sababu hujakata tamaa na kusoma nakushaur usubiri matokeo mapya yatoke naamini hautakuwa hapo na pia unaweza kupangiwa shule ya advance ukiona mambo hayaja badilika nenda TIA ila kama unapenda kusomea mambo ya mahesabu pale hukosi nafasi
 
Back
Top Bottom