Usijaribu kuacha usichoweza kukiacha, mapenzi yanauma

Usijaribu kuacha usichoweza kukiacha, mapenzi yanauma

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
395
Reaction score
1,085
Najitahidi kumsahau huyu mwanamke bado ni mtihani!
I miss her japo nimemuacha mwenyewe lkn bado hisia juu yake ni kali,still nawivu nae na naona kabisa nampenda.

Swala sio kumuacha swala ni lini hisia juu yake zitakufa??

Someone can feel me..😞
 
ni ipi sababu ya kuachana kwenu?

Nakumbuka nilikuwa napenda sana na mdhaifu mbele ya mapenzi kiujumla......

Nilijifunza kujipa furaha mwenye, ujue ukiwa na stress kitu gani ukifanya kinakurudishia mood....pia nilijifunza kupunguza expectation na nilianza kuona wanawake wote ni sawa hakuna aliebora kuliko mwingine......sahizi nipo sawa sana.
 
Sijawahi kuwa mwepesi kukubali kihivyo! Niite hata mpenzi mdokozi! Ilimradi ilete hata shamsham Kaka imekaa ki gaidi Sana..😂
Kaka imekaa kimashambuliziii sana inafaa na sifuti kauli
 
Back
Top Bottom