Usijaribu kuacha usichoweza kukiacha, mapenzi yanauma

Inauma sana ila ukizoea utaanza shangaa ulikuwa una tatzo gani mpaka unaumia hivi
 
Jiendekeze tu, utakufa kwa kihoro...

Jitu likusumbue akili, amekuwa mama yako mzazi huyo, mlizaliwa pamoja, iliandikwa sehemu kuwa bila yeye wewe si lolote...

Pumbavu kabisa wewe.. Bwege mtozeni namba moja
 

Mimi nilishaachaga kabisa kubishana na nature (asili)muda ukisema endelea kupenda naendelea ukishaacha kupenda automatic chuki itakuja tu na kutoka kwenye mateso lkn kamwe siwezi kujifanya nasahau kitu ambacho sitasahau milele
 
Kabla hujamuacha unaempenda lazima uwe na mbadala vinginevyo utarudia ulipotoka!
 
Naona ndio mpango wa kwenda kuparamia Madirisha ,kaka hujaambiwa yupo umeambiwa wapooo unaonyeshea weye ni dogo sana au umezoweya ubwetee.Bure Yauaa.
 
Kabla uache kaz tafta pa kijishikisha
Walau hukos maji ya kunywa ndo
Uache hyo kazi unayotaka kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…