uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Habari zenu wandugu, Poleni na majukumu.
nimeona nitoe tahadhari kwa vijana
wanaoishi nyumbani kwao au hata maboss
wenye ma-house girl(matured 19yrs+)
kuzoea kuwatania kwa maneno yenye mistari
ya mahaba ndani yake kama vile
-Unapendeza sana,natamani nikutembelee usiku.
-Nilikuja chumbani kwako usiku nikakukuta umelala fofo.
-Usifunge mlango kuna kitu nataka nikwambie chumbani kwako
-Hii zawadi ifiche baba na mama wasijue kwamba nimekupatia.N.K
Ukiingia mtego wa kumzungumzia maneno haya,
utajiingiza kwenye mabishano naye,
na nakwambia hutachomoka katika
majaribu yatakayokujia kwa speed ya 4G
Lengo la kuweka hili hapa ni kukupa tahadhari
ili kudumisha upendo na amani ktk familia.
Usimbague bali zungumza naye maneno ya
kawaida yasiyoamsha hisia zake
maana naye ni mtu ana hisia
wakati mwingine zilizopitiliza kwa sababu
ya kubanwa na majukumu ya nyumbani
akipata mtu wa ndani,ataona amepata auheni
lakini kwako itakuletea matatizo makubwa.
Mwenye nyongeza ya maneno amabayo yanaleta
utata kwa HG ili tuyaepuke,na hiyo kuwa salama
karibuni.
Siku njema.