Usijaribu kumtania house girl kwa maneno haya

Usijaribu kumtania house girl kwa maneno haya

Yaani we acha tu ananilelea watoto ndyo ana mwezi 1 tu juzi aliniuliza hivi nanukuu ' kaka unajua kucheza karata' nikasema ndyo akasema nunua tucheze nikuoe !!
yaani ile bibi ikiliwa na bwana ,nilifikilia sjui alimaanisha nini au utani tu
[emoji3516]
KUNA JANGA KUBWA SANA LINATAFUTWA HAPA!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani we acha tu ananilelea watoto ndyo ana mwezi 1 tu juzi aliniuliza hivi nanukuu ' kaka unajua kucheza karata' nikasema ndyo akasema nunua tucheze nikuoe !!
yaani ile bibi ikiliwa na bwana ,nilifikilia sjui alimaanisha nini au utani tu
Mida si mrefu utaingia kwenye mtego
 
uchumi2018, Pia wakumbuke housegirl ndie binadamu anayeshika mimba haraka sana ...yani hata ukimwaga nje tone moja tu likaangukia imoooooo
Sawa kabisa kabisa kabisa 🤣 🤣 😂 😆 😅
Wana mayai ya ajabu kabisa! Waweza kuta mama Mwenye nyumba na vinono na show mara kwa mara yawa bila!
Ila hawa, hata uvae kondom haisaidii!
 
Back
Top Bottom