Usijaribu kutoa mimba dhambi yake ni zaidi ya Jairo!


Sasa matumizi ya condom na kidnapping yanahusiana vipi?

Fasili ya kidnapping ni "to take away (someone) by force usually in order to keep the person as a prisoner and demand money for returning the perso"

Saidia mimi lugha gongana hapo.
 
Good thinking girl....
 
But what is the connection between a condom and kidnapping?

duuhhhh swali gumu

lakini labda alimaanisha
wakati wa sex ukivaa condom unazuia
sperm isingie kwenye yai ...

sasa hilo la kuzui labda ndo alilifanannisha na
Kidnapping ...
 
duuhhhh swali gumu

lakini labda alimaanisha
wakati wa sex ukivaa condom unazuia
sperm isingie kwenye yai ...

sasa hilo la kuzui labda ndo alilifanannisha na
Kidnapping ...

Lugha gongana hapo. Sijaelewa kabisa mimi.
 
<br />
<br />
Peleka uchangudoa wako maaluni mkubwa weye.

Derimto kwa nini umeamua kumpachika majina hayo Gaga.... jipe nafasi kumwelewa mtu hata kama hatufahamiani kwa majina yetu halisi.

That was low of you!
 
Lugha gongana hapo. Sijaelewa kabisa mimi.

Alimaanisha kufanya ngono ni kule kule whether umepata mimba au hujapata ila dhambi umeshafanya, ila yeye alisema kuwa inawezekana uzito ukawa tofauti mmoja kaua na mwingine basi tusema ame kidnap maana yeye bado haijulikani kama kaua lakini on the other hand ameua. maana unaweza toa mimba ikiwa bado zile zile maji na mwingine unaweza toa mimba ikiwa na kiumbe ile ya miezi kadhaa binafsi ndo naona mbaya. Ila ngono nooooooo! whetther umetumia condom or not
 
Mimi nashauri decisions za kutoa mimba zifanyike mapema sana katika muda usiozidi mwezi na nusu. vinginevyo sijisikii vizuri binafsi
 
Unajua MM1 watu wengine huwa wanakurupuka tu kumshambulia mtu, dada wa watu kauliza walitakiwa kumjibu,lile ni swali na lina alama ya kuuliza na sio conclusion yake maybe badae angehitimisha lol!! GT think!!!
 
First off, your sentence is syntactically incorrect.

Secondly, what is the connection between using a condom and kidnapping?
Its just copy n paste NN, ila inamake sense ndio maana dini zingine zinakataa utumiaji wake,nilivoelewa unaweza tumia condom siku za kushika mimba ni kama joke hii nashangaa kuona nimeshambuliwa kiasi hiki lol!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…