Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,970
Sijaonauhusiano wa uchangudoa na hiyo sentensi<br />
<br />
Peleka uchangudoa wako maaluni mkubwa weye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaonauhusiano wa uchangudoa na hiyo sentensi<br />
<br />
Peleka uchangudoa wako maaluni mkubwa weye.
Jamani hujaona nimeuliza au alama za kuuliza zilimaanisha nukta kwenu?Wewe kdnapper umetokea wapi tena?simply mwenye mada kaongelea abortion ya mtoto aliye tumboni,wewe unaongelea shahawa,kwa nini usijibu mada ilivyo alafu ukatafuta mda ukaleta ya kwako ya shahawa kama unapenda?mnaboa sana because of your irrational thinking,think positively great thinker!
Its just copy n paste NN, ila inamake sense ndio maana dini zingine zinakataa utumiaji wake,nilivoelewa unaweza tumia condom siku za kushika mimba ni kama joke hii nashangaa kuona nimeshambuliwa kiasi hiki lol!!
Ina make sense pale ambapo condom zimezuia mimba kuingia wakati mwanamke alikuwa kwenye siku za kushika mimbaIna make sense kivipi? Manake umezungumzia mpira wa kiume na utekwaji nyara. Mimi bado sielewi uhusiano wake.
Samahani kwa usumbufu. Niko mzito kidogo katika kuelewa. Sikubahatika kufaulu form four, form six, wala kwenda UDSM na kupata festi klasi.
Ina make sense pale ambapo condom zimezuia mimba kuingia wakati mwanamke alikuwa kwenye siku za kushika mimba
Kwanza kabisa watu muelewe mie sisapoti utoaji mimba na hiyo post nimeweka kiulizo mwisho si mjibu mnavyojua kutetea hoja zenu?huo msemo nimeucopy mahala, na mjue Mungu kakataza utoaji mimba na ufanyaji mapenzi kabla ya ndoa, na wakati huohuo mjue dhambi ni dhambi hakuna cha dhambi kubwa wala ndogo kila dhambi mshahara wake ni mauti, na sio kwamba nasema hivi coz mimi sitendi dhambi au sijawahi fanya haya la hasha, naongea nachokijua tu, na uelewa wangu