Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
ni utani tu mkuu😂 tunasogeza sikuKwani kachori huwa zinatengenezwa kwa ajili ya wanawake?🤣🤣🤣hii nchi kuna watu wana maswali ya kipumbav saa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni utani tu mkuu😂 tunasogeza sikuKwani kachori huwa zinatengenezwa kwa ajili ya wanawake?🤣🤣🤣hii nchi kuna watu wana maswali ya kipumbav saa
Ulitaka ugali wa mama ntilie ule kama upo kwako chitohori🤣🤣🤣• 😬😬, poleni sana,
• ivi ule ugali wa Dar ni baga ya sembe au? Maana niliwahi kula sahani tatu, lakini sikushiba aise,
Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
Heri Dar wanakunywa chai mida hiyo...Mkoani ndiyo shida...Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
chai sio lazima watu tumekaririshwa tuKweli kabisa.
Mimi hapa sijanywa chai bado na sina hiyo ratiba kwa leo😌
😂Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
Hivi aliyewaambia kuwa kula milo mitatu ni lazima na ndio afya ni nani, kwa taarifa yako kuna watu ni masikini ila wanakula milo mitatu, na kuna watu ni matajiri ila wanakula milo miwili msikariri ni maamuzi tuWatu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.