Usije Dar kwasababu ya kuolewa

Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana.
Hivi aliyewaambia kuwa kula milo mitatu ni lazima na ndio afya ni nani, kwa taarifa yako kuna watu ni masikini ila wanakula milo mitatu, na kuna watu ni matajiri ila wanakula milo miwili msikariri ni maamuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…