wakati nipo nabenjuka na shemeji yenu sijui akili ya wapi ikanivagaa! ikaniambia zuia wazungu leo!!.
nilivyoona wanakaribia kuja nikajiset mtoto wa watu,spidi nikaikoleza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anaesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde!, asalaleeeee si wakafika kenge maji nikazuia sekunde hiyohiyo nikasikia maumivu makali kinyama yakanitanda mwili mzima!, kizunguzungu kikanikamata macho yakaanza kuona giza huku masikioni nikawa nasikia nzwiiiii!..
nachokumbuka nilizinduka nikiwa mmnyonge sana nimemwagiwa maji na shemeji yenu nipo tepetepe!,alivyoniuliza nini kimenipata nikamdanganya mzimu wa ukoo ulitaka nikupe mimba sasa nikaukatalia ndo mzimu ukaamua isiwe tabu acha nikuzimishe nyumbu wewe!.
uzuri akanielewa akanipikia uji nikanywa nguvu zikanirudia!.
mambo mengine msije kujaribu mtakuja mng'oke meno lile tendo halina reverse!!.