Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Huna akiliMtakuja kufia kwenye vidonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akiliMtakuja kufia kwenye vidonda
Sawa mke wa kakaHuna akili
Sema elimu nyingine mna okotaga wapi au kwa maprofesa feki wa muhimbili kuzuia kufika kileleni kuna madhara mengi zaidi ya hayo uliyo sema ....moja wapo ni kupoteza nguvu za kiume.Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"
Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anayesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde. Asalaleeee! Si wakafika kenge maji, nikazuia sekunde hiyo hiyo. Nikasikia maumivu makali mno yakitanda mwili mzima. Kizunguzungu kikanikamata, macho yakaanza kuona giza huku masikioni nikisikia mluzi wa nzwiiiii.
Nachokumbuka nilipozinduka nikiwa mnyonge sana, nimemwagiwa maji na shemeji yenu, nipo tepetepe. Aliponiuliza nini kimenipata, nikamdanganya kwamba mzimu wa ukoo ulitaka nikupe mimba, lakini nikaukatalia. Hivyo, mzimu ukaamua isiwe tabu, "acha nikuzimishe wewe nyumbu!"
Uzuri akanielewa, akanipikia uji nikanywa, nguvu zikanirudia!
Mambo mengine msije kujaribu, mtakuja kung'oka meno. Lile tendo halina reverse!
... wazungu hawazuiwi dakika za mwishomwisho, ila huzuiwa kwa kupunguza 'concentration' KABLA!Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"
Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anayesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde. Asalaleeee! Si wakafika kenge maji, nikazuia sekunde hiyo hiyo. Nikasikia maumivu makali mno yakitanda mwili mzima. Kizunguzungu kikanikamata, macho yakaanza kuona giza huku masikioni nikisikia mluzi wa nzwiiiii.
Nachokumbuka nilipozinduka nikiwa mnyonge sana, nimemwagiwa maji na shemeji yenu, nipo tepetepe. Aliponiuliza nini kimenipata, nikamdanganya kwamba mzimu wa ukoo ulitaka nikupe mimba, lakini nikaukatalia. Hivyo, mzimu ukaamua isiwe tabu, "acha nikuzimishe wewe nyumbu!"
Uzuri akanielewa, akanipikia uji nikanywa, nguvu zikanirudia!
Mambo mengine msije kujaribu, mtakuja kung'oka meno. Lile tendo halina reverse!
mh!Mdogo ake litutumbwe
Mkuu unanafya akiliii tatizooWakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"
Nilivyoona wanakaribia, nikajipanga mtoto wa watu. Spidi nikaongeza huku nikiwa makini kama mwanasayansi anayesubiri tafiti yake ikamilike ndani ya sekunde. Asalaleeee! Si wakafika kenge maji, nikazuia sekunde hiyo hiyo. Nikasikia maumivu makali mno yakitanda mwili mzima. Kizunguzungu kikanikamata, macho yakaanza kuona giza huku masikioni nikisikia mluzi wa nzwiiiii.
Nachokumbuka nilipozinduka nikiwa mnyonge sana, nimemwagiwa maji na shemeji yenu, nipo tepetepe. Aliponiuliza nini kimenipata, nikamdanganya kwamba mzimu wa ukoo ulitaka nikupe mimba, lakini nikaukatalia. Hivyo, mzimu ukaamua isiwe tabu, "acha nikuzimishe wewe nyumbu!"
Uzuri akanielewa, akanipikia uji nikanywa, nguvu zikanirudia!
Mambo mengine msije kujaribu, mtakuja kung'oka meno. Lile tendo halina reverse!
Uĺitaka aa dllt??moderator kwanini mme edit uzi wangu nyinyi ndo mlikuwa wahusika mliokuwa mnafanya hiyo tafiti...??
shauli yako ipo siku haina jina utaipa jina!Mkuu unanafya akiliii tatizoo
Hakuna starehee napenda kama mwanamke aniambie zuia shahawa zisije yaaan najitoa ufahamu kama niko ofisini natukanwa na boss's banzai upyaaa
Ingawa wanasailooojia wanasema zinapunguza nguvu za kupata watoto lakn m imekuwa michezo yangu baadaya kumalizana na watoto nkaanza hiikitu yaan shemeji yakkoo anaulizaga nimekula nn namwambia kahawa na kaliimao ba mdalasini
Mwana sayansi 😁😁😁😁Wakati nipo nazungumza na shemeji yenu, sijui akili ilitoka wapi ikanivamia! Ikaniambia, "zuia wazungu leo!"