7,800 Hivi wewe ni changudoa unauza k? Maana mh!Jamani pale pm nimekuta request zaidi ya 50 wakiomba nichati nao
Naomba muweke vina na mizani hapa a.k.a mistari yenu,maneno yatakayoshika moyo wangu,nataku-quote kukutaarifu kukufuata PM
I'm serious, kwa wale wa matani na matusi wapite kushoto
Mimi Ni Muhenga Hivyo Usishangae Style Yangu ya Kutongoza Nadhani Nimeeleweka.Khaaa! Zilipendwa
Unaweza ukaifanya dunia ikawa sehemu takatifu kwangu au kilio cha kwikwi?Baibey...!, penzi langu kwako ni zito mithili ya kontena la kokoto.
Hata miti yote duniani igeligeuka na kuwa bic, na maji yote duniani yakawa wino, visingeweza chochote kuandika kiasi cha pendo nilililonalo kwako.
Natamani hata nikuhonge DUNIA lakini nashindwa.
Nikubalie basi, sawa mamie....!
Njoo kona ya Bwiru,hakuna cha girls wala boys
Mkuu[emoji23] so kwenye ule Uzi uliogop kumwambia yule manzi we ni bikra ?Sina wa kumwambia nadhani ni wewe wa kwanza kumuambia..
Hahaaaaaaaa hilo ni neno la aibu mwanaume kulizungumza..acha tuMkuu[emoji23] so kwenye ule Uzi uliogop kumwambia yule manzi we ni bikra ?
Au kisa siripuki, daily mitumba midosho/Jamani pale pm nimekuta request zaidi ya 50 wakiomba nichati nao
Naomba muweke vina na mizani hapa a.k.a mistari yenu,maneno yatakayoshika moyo wangu,nataku-quote kukutaarifu kukufuata PM
I'm serious, kwa wale wa matani na matusi wapite kushoto
kombe umepataMi siongei sana[emoji23][emoji23]View attachment 1253160
Bla bla bla huwa siziwezagi ujue mwenzako[emoji28][emoji28][emoji28]
Yes mamie..., hakika nitaifanya dunia kuwa ndo pepo yako. Naomba uniamini ....Unaweza ukaifanya dunia ikawa sehemu takatifu kwangu au kilio cha kwikwi?
Haya maneno ni mazuri,nina mashaka huenda ni maneno tu bila vitendoNajisikia vibaya sana kukwambia maneno haya bila kuwepo mikwaruzano ya sauti na bila macho kuona na bila uhalisia wa macho kuona, ila nikijenga picha akili yangu inaniambia ww n mrembo utakayekizi matamanio yangu.
Najua ni vigumu kunipokea ila nakupa uhuru wa kuchagua ww utakavyoamua ww moyo wako
Kwa upande wangu mm nisharizika na ww, sijui unasemaje mwanzangu......??
Kama ID yangu sitakuumiza.
Maneno yote yalishasemwa na kuongea, we cha msingi usikolezwe na niseme nakuoenda halafu kesho unifumanie, nikuimbie shairi la mapenzi kisha badae utambue nakusaliti, matendo ni kipimo kizuri, maneno hayanifungi naweza sema hivi jioni nikavunja kiapo.Hahaha,nimecheka kwa sauti
Kwahyo Umenikubali Au Sio!