Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Lahaula lakwata....Jamani pale pm nimekuta request zaidi ya 50 wakiomba nichati nao
Naomba muweke vina na mizani hapa a.k.a mistari yenu,maneno yatakayoshika moyo wangu,nataku-quote kukutaarifu kukufuata PM
I'm serious, kwa wale wa matani na matusi wapite kushoto
Leo naona umejielekeza kibla wallahi...