Usije PM, rusha mistari yako hapa nikufuate mwenyewe PM

Usije PM, rusha mistari yako hapa nikufuate mwenyewe PM

kweli K zimekosa soko ad imeamua kwenda kwa wanunuzi.!
Maisha magumu brother
Wanalazimisha ktonggozwa sasa
Mwanamke mwenye akili Timamu hawezi kuja kuanzisha thread anataka kutongozwa, ukiona hivo ni stress na bankruptcy!! Wanawake wanaojielewa wamekaa kimya nyuma ya keyboard wnaasoma ujinga wa wanawake wenzao kifupi wanawaibisha!!
 
Jamani pale pm nimekuta request zaidi ya 50 wakiomba nichati nao

Naomba muweke vina na mizani hapa a.k.a mistari yenu,maneno yatakayoshika moyo wangu,nataku-quote kukutaarifu kukufuata PM

I'm serious, kwa wale wa matani na matusi wapite kushoto

Vipi kama sikuitaji hapa na pm? Ungeandika kwa wale wanaotaka!
 
Hivi unategemea Chalii ya R namimi nianze kupiga Sound?Ntafeli parefu sana asee!!Me nakushika ki'babylon oi oi .
 
Cutelove mimi
ninakupenda sana wewe[emoji173][emoji173][emoji173]

Cutelove mimi
Ninakupendaa saaana weweee

Au unaniona mimi nimelewa?

Sindo pombe inanifanya niongee hiviii

Mawazo yangu yote

[emoji173][emoji173]Yananifanya niongee hiiiiviii

Rudia kiitikioooo X4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom