FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
Kama wewe ni mpenzi wa cryptocurrency na unapenda kujifunza cryptocurrency huu uzi unakuhusu kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kupitia huu uzi utaenda kuingiza maelfu ya dola kama utakuwa makini kufuatilia nilichoandika.
Kwenye crypto huwa tuna terms mbili ya kwanza ni CEX na ya pili ni DEX sasa CEX ni exchange ambayo inacontroliwa na watu na DEX haicontroliwi na watu tuachane na hayo pitia nyuzi zangu za nyuma utapata kuelewa kitu.
Sasa mapema mwezi huu CEX au Exchange ya @okx ilitangaza kampeni ya invite and win kwa nchi za Africa na ikasema watu watakaoruhusiwa kushiriki ni wale wanaotoka nchi zote za Africa isipokuwa Nigeria na Algeria na walitenga kiasi cha $700 ambazo zinatarajiwa kugombaniwa na watu ambao tayari wameshafungua na kujisahili akaunti zao kwenye hiyo Exchange na wameziverify kabisa.
Lakini, lengo kuu la OKX ni kukuza jamii ya watumiaji wa exchange yao kama ilivyo kwa Binance na Bybit haswa kwa watu wa afrika kutoka nchi mbali mbali na kingine wanataka watu waweze kubadirishana mawazo juu ya mambo ya Blockchain and cryptocurrency
Sasa ili uweze kuingia kwenye hii kampeni wameweka vigezo vinne tu vya kuvifuata
Kwanza inatakiwa ujiunge na telegram channel yao hapa OKX Africa (English)
Kigezo cha pili uwafollow @okxafrica twitter
Kigezo cha tatu kuna fomu unapewa ujaze hapo ambapo kwenye hiyo fomu utatakiwa kujaza Username yako ya telegram, Username yako ya twitter na UID yako ya OKX kwahiyo ili upate UID yake ni lazima uwe na akaunti ya OKX ambayo unaweza jisajili hapa okx.com/join/49331949
Kigezo cha mwisho kabisa lazima uombe invite link kule telegram wakajoin kwenye community ya OKX africa.
Vigezo sio vigumu kikubwa download app ya @okx play store au app store kisha fungua account yako
Kupitia okx.com/join/49331949 maliza verification process zote halafu join kwa community yao ya telegramhttps://t.me/+oGItW1KeSnJhN2U1 umemaliza kazi.
Ukihitaji maelekezo zaidi unaweza kunicheki whatsapp kwa namba 0765772976 nitakuelekeza hatua kwa hatua kwani kuingiza hela kwenye OKX ni rahisi kwa sababu bado ni exchange changa ukifananisha na Binance