Usije ukaikosa hii give away ya OKX kwenye upande wa Cryptocurrency and blockchain utajuta!!!

FestoKaguo

Senior Member
Joined
Apr 1, 2022
Posts
128
Reaction score
202
Kama wewe ni mpenzi wa cryptocurrency na unapenda kujifunza cryptocurrency huu uzi unakuhusu kabisa kabisa kwa asilimia 100 kwa sababu kupitia huu uzi utaenda kuingiza maelfu ya dola kama utakuwa makini kufuatilia nilichoandika.
Kwenye crypto huwa tuna terms mbili ya kwanza ni CEX na ya pili ni DEX sasa CEX ni exchange ambayo inacontroliwa na watu na DEX haicontroliwi na watu tuachane na hayo pitia nyuzi zangu za nyuma utapata kuelewa kitu.

Sasa mapema mwezi huu CEX au Exchange ya @okx ilitangaza kampeni ya invite and win kwa nchi za Africa na ikasema watu watakaoruhusiwa kushiriki ni wale wanaotoka nchi zote za Africa isipokuwa Nigeria na Algeria na walitenga kiasi cha $700 ambazo zinatarajiwa kugombaniwa na watu ambao tayari wameshafungua na kujisahili akaunti zao kwenye hiyo Exchange na wameziverify kabisa.
Lakini, lengo kuu la OKX ni kukuza jamii ya watumiaji wa exchange yao kama ilivyo kwa Binance na Bybit haswa kwa watu wa afrika kutoka nchi mbali mbali na kingine wanataka watu waweze kubadirishana mawazo juu ya mambo ya Blockchain and cryptocurrency
Sasa ili uweze kuingia kwenye hii kampeni wameweka vigezo vinne tu vya kuvifuata

Kwanza inatakiwa ujiunge na telegram channel yao hapa OKX Africa (English)

Kigezo cha pili uwafollow @okxafrica twitter

Kigezo cha tatu kuna fomu unapewa ujaze hapo ambapo kwenye hiyo fomu utatakiwa kujaza Username yako ya telegram, Username yako ya twitter na UID yako ya OKX kwahiyo ili upate UID yake ni lazima uwe na akaunti ya OKX ambayo unaweza jisajili hapa okx.com/join/49331949

Kigezo cha mwisho kabisa lazima uombe invite link kule telegram wakajoin kwenye community ya OKX africa.

Vigezo sio vigumu kikubwa download app ya @okx play store au app store kisha fungua account yako
Kupitia okx.com/join/49331949 maliza verification process zote halafu join kwa community yao ya telegramhttps://t.me/+oGItW1KeSnJhN2U1 umemaliza kazi.
Ukihitaji maelekezo zaidi unaweza kunicheki whatsapp kwa namba 0765772976 nitakuelekeza hatua kwa hatua kwani kuingiza hela kwenye OKX ni rahisi kwa sababu bado ni exchange changa ukifananisha na Binance

 

Attachments

  • 20250315_233244.jpg
    84.3 KB · Views: 33
  • 20250315_232324.jpg
    195 KB · Views: 44
Mpaka hapo maelfu ya dollar sijaona nitayapataje
Step ya kwanza download app ya OKX link playstore au app store then fungua account link nishakuwekea ya kufungua account fanya verification process zote ukimaliza join kwenye telegram group yao link nishakuwekea hapo kwenye maelezo kule telegram utachagua sehemu ya East Africa kuna kazi wanapost, ukishajiunga unatakiwa uwafollow twitter account yao inaitwa OKX Africa ukishawafollow kuna form utajaza ( hayo maelezo yote nimeyaandika na kuyawekea picha kabisa yanachukua dakika 5 kufanyika kama kuna kitu haujaelewa nicheki whatsapp nikuelekeze)
 
Yani wa Africa wote tuje kugombania $700, kichwani una nini mkuu ?
Afu OKX ni scam
 
Yani wa Africa wote tuje kugombania $700, kichwani una nini mkuu ?
Afu OKX ni scam

Halafu OKX ni SCAM unaongea unaonekana kabisa huijui crypto hujaisoma kama kitu hujui useme nina mwaka wa 4 sasa natumia OKX kufanya miamala unaibuka from no where kusema ni SCAM na hizo $700 hawagawi kwa watu wote ingia telegram channel yao usome maelekezo sio kusoma kitu juu juu unakuja kujibu
 
Yani wa Africa wote tuje kugombania $700, kichwani una nini mkuu ?
Afu OKX ni scam
πŸ˜‚πŸ˜‚Halfu kwa nini wawatenge Nigeria? Kwani sio waafrica wenzetu
 
ni kweli. Kampuni ya ubadilishaji fedha za kidijitali ya OKX ilizindua kampeni maalum ya Invite and Win kwa watumiaji wa Afrika

isipokuwa wale kutoka Nigeria na Algeria. Kampeni hii ilianza tarehe 28 Februari 2025 na itaendelea hadi 28 Machi 2025

Washiriki wanahimizwa kualika marafiki
Lakiki 700 ela nyanya sana aiseh
 
Sio lazima washiriki watu wote hadi hela za bure za kugawana wat hawataki waende Veta buana πŸ˜‚
 
Kwenye 700$ nimeambulia 10.10 tu ya kujazia gesi geto πŸ₯²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…