leop
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 550
- 523
Ivi kamara ndo hao hao tunaowaangaliaga mara kwa mara upendo tv?Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.