Ivi kamara ndo hao hao tunaowaangaliaga mara kwa mara upendo tv?Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
[emoji3][emoji3] unafanya kazi upendo nnUsiwaingize upendo [emoji3] upendo hua wanazunguka makanisa tofauti tofauti sio kimara tu
Ni wanafiki aiseee ukiwa nao wanakupiga maombi unasema pepo hii hapa , baada ya hapo ni kisangaWanaojiita wanamaombi hawajui hata wanamwomba nani.
Ila pole, kanisani siyo mahali salama tena.
Vile umesema ngoja wampelekee Matsai ajue kundi lake lilivyo.
Ndo maana serikali inawaweka watu wake hapo mzena ukianza kuzidiwa na nusu kaputi ukaropoka wanayajua wao .
Hiyo Kali ya Mwaka!! Hofu ya Mungu hakuna jamani. Tutafika mbinguni tumechoka sana, Mungu atusaidie.Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Unaenda huko kufanya nn.. tuanzie hapo kwanza...Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Watumishi walio wengi hawana miiko ya utumishi wao, wanapiga free style tu.Usije ukalogwa wana maombi wakajua jambo lako kanisani hasa wana maombi wa KKKT , waambie siri zako kesho unazikuta zinazagaa mtaani.
Sasa mtu ana manifest na mapepo yanaongea nyie mnaenda kutangaza tunzeni siri za watu jamani hasa pale Kimara.
Punguzeni mdomo sio sawa kabisa.
Sasa wale wana maombi wakisikia hili wanamvua nguo mzee , msimuone vile hapewi tendo la ndoa yule mke wanakula mtaaniKuna mke mmoja wa mzee moja mwenye heshima zake, alipelekwa kwenye maombezi, baadaye mapepo yakalipuka yakaanza kutoa siri zote za ndani anazofanyiwa huyo mzee, mpaka tendo la ndoa huwa hapewi. Mzee alinyong'onyea sana
Waelimishwe sijui ikibidi hata kufukuza anae enda kinyume na miiko au ndio lazima Yuda awepo ? Lakini Yuda sio kila sehemu sasa mambo mengine ni kufichiana fedhehaWatumishi walio wengi hawana miiko ya utumishi wao, wanapiga free style tu.
Kuna kusema ushuhuda lakini ushuhuda ambao haumvunjio mtu heshima na utu wake na kuna kusemwa hovyo kwa waumini wengine yaani mradi umeingia 18 za wana maombi basi kila mtu pale kanisani atajua kua ulikua na mapepo na yamesema nini huu ni upuuzi wa hali ya juu kabisa kufanywa na kanisaHii ipo pote, makanisa yote na wachungaj wote, alaf wanajionaga wajanja Sana kuwatolea watu mifano lakni ni ujinga mtupu