daneyodry
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 350
- 227
jamaa mmoja alikuwa bado wamelala asubuh Ghafla mtu akapiga hodi kwenye mlango mke akaenda kufungua bahati mbaya kumbe ni Mpango wake Wa kando
MKE :unataka nini we mpumbavu
MUME :nani huyo unamtukana?
MKE :kuna mtu hapa ana kichwa kama nenda urudi badae Mpango wa Kando :na wewe pua kama...poa
MKE :Miguu kama masaa mawili hivi..Mpango Wa Kando:masikio kama sitachelewa.
MKE 😱ndoka hapa mjinga wewe(akafunga mlango).
MUME : mwambie ana magoti kama sitoki leo
[emoji12] [emoji12] [emoji13]
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app