Usije ukapoteza muda na rasilimali zako kutaka kumbadilisha mtu ili awe kama wewe

Usije ukapoteza muda na rasilimali zako kutaka kumbadilisha mtu ili awe kama wewe

Kuna watu wengi sana wanateseka kisa watoto na ile dhana mtoto lazima alelewe na baba + mama! nikweli ila vp kama mmoja wenu ni mzigo kwa mwingne yani kifupi hanyooki ata unyooshe na pasi?? Aisee ni kasheshe.
 
Nilikuwa katika mahusiano na mwanaume ambae yeye hamna anachofanya kinaeleweka. Kila kazi anafukuzwa akianzisha biashara inakufa, ikafika mahali nakopa kazini nampa yeye afanye biashara niliishia almost losing my
Houses kwa mikopo nayompa yeye ila hajawahi badilika ila nilijifunza somo gumu sana. Kuna maisha nje ya mapenzi! Kamwe kamwe usimpe nafasi mtu ambae hana maono kwa maisha yako, anaweza akaua hadi ndoto zako! Protect ur energy for real
Ulikuwa unampa Anachohitaji kweli au ulikuwa unaguess?

Ni sawa sawa na kumpa Samaki mtihani wa kukwea miti Maisha yako yote utaamini kuwa Samaki huyo ni mjinga.

Je Hiyo mahusiano yenu haikuzaliwa na manipulation Tactics kutoka kwako?
Haukumchezea cheusi chekundu akupende ... All of sudden ukawa umeharibu akili yake akawa anashindwa kudelicer results?

Did he had peace of mind when he was with you???


Haukuwa mbinafsi?


Haukumlisha zaidi ya alichokuwa anaweza kula??
 
Back
Top Bottom