Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Nitakuja kukutembeea hapo West London mkuuUnakuta mtu anakwambia usije ulaya wakati yeye hataki kutoka huko ulaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuja kukutembeea hapo West London mkuuUnakuta mtu anakwambia usije ulaya wakati yeye hataki kutoka huko ulaya.
Tutakuja tuu Ulaya!Mkienda huko hamtaki kabisa wengine tupajue huko ulaya kila mtu afike huko ajionee yeye mwenyewe wacha kukatisha tamaa. Wanaijeria africa magharibi imejaa ulaya, wakenya wapo wa kutosha
Wanapeana konnekshen sisi wa bongo tuna roho mbaya sana ukiona wewe upo ulaya utaki wengine waje
Nimeishia hapo kwenye nyoka akiwa na mimba!!Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi nilivotengeneza million 9 ndani ya mwezi mmoja.
Nimeanzia mbali sana kwani namkumbuka mwana FA na wimbo wake USIJE MJINI Leo hii nawaasa GenZ.. USIJE ULAYA. Kuna usemi usemaon huwezi kumtambua nyoka anapokuwa mjamzito, naamini sio rahisi sana kumtambua mkikutana porini.
Uzuri na utamu wa pesa wanaujua wenye pesa. Tajiri anaelewa kwa nini ni sahihi yeye kutumia milioni 2 mpaka 10 kwa siku moja tena kwa matumizi ya kula na kunywa tu.
Unaposikia fulan sijui Fernandez wa NALA alikataa mshahara wa zaidi ya 30 million kwa mwezi akaamua kurudi nyumbani masikini hawezi kuelewa hata umkate kichwa ...nmewahi kukaa mahali na mama mmoja aliacha kazi EAC ili awe free akaajiriwa sehemu analipwa haifiki hata robo na yuko na amani na furaha tele.
Kwa nini USIJE ULAYA, Asia, America.... Jibu rahisi Utajiri uko AFRICA 🌍 🌍 🌍. Rasilimali za Bure ziko Africa. Fursa za kutupa zipo Africa.
Kila leo walioko nje ya Africa wanaumiza kichwa kuweza kufanikisha kuwekeza Africa. Unaweza kuamua kwenda Ulaya likizo unarudi Africa kutembea. Wazungu wametuweza sana kutupymbaza waafrica tumekuwa watumwa wa fikra kwamba Ulaya Kuna maisha yaani Bora kuwa paka Russia kuliko kuzaliwa Africa 🌍.
Sio kweli narudia sio sahihi wametupumbaza na watazidi kutupumbaza. RIP JIWE/BULLDOZER/MWAMBA/CHUMA 17 March 2021. Nyota ilizima Gafla Giza likatawala. Hiki CHUMA sizani kama spea yake itakaa ipatikane tena !!!
Ukiwa na uwezo wa kupata 15k kwa siku Tanzania ni sawa na mtu anayepata 170k Marekani. Ngoja nikuchanganye kidogo uelewe. Barrack Obama akiwa Raisi alimwalika dinner Raisi wa India na ilitumika karibia 200$k ni kama 500m kwa chakula tu. Emmanuel Macron alipomwalika King Charles ilitumika karibia 560$K hizi ni zaidi ya 2 Billion za kitanzania.
Mama alipowaalika kufuturu ikulu mlitumia kiasi gani??
Tuendelee kwa nini Usiende Ulaya....Mwisho nitaeleza kwa nini kabla hujazeeka hakikisha angalau unatembelea nchi yeyote kati ya German, Spain, Italy, France, Poland, Russia, Norway, India, Japan, Iran, Saudi Arabia, China, Cuba, USA, Canada, Turkey Argentina, Cambodia na Australia.
Changamoto ya nchi nyingi hawajui kingereza, hii ni mada ingine ndefu sana niiruke ila kwa ufupi ukitembelea nchi isiyozungumza kingereza tembelea zaidi mji mkuu wa nchi utapata huduma nzuri.
Nichomekee tabia ya vijana wasomi wanaojiita chawa ni bomu kwa mustakabali wa nchi yetu ni kama kansa itatumaliza taratibu.
Tuendelee, Ni kweli kabisa maisha ya Ulaya au nchi nilizotaja hayafanani na ya Tanzania Kabisa, ni mazuri, uhakika, yanavutia, Usalama lakini nirudi nyuma kwa kuwa Tanzania haifanani na Ulaya hata kidogo kuifananisha ama kuilinganisha kijeshi, technology au vyovyote ni kutenda kosa la kukusudia....
Africa ina maisha ya aina yake ...Kuna siku nilisikia mchungaji mgogo anasimulia Kuna dhambi ni za Africa tu..... Mtoto akiwa na njaa Akala chakula kwenye friji bila kupewa anaitwa mwizi/Mdokozi .,, hizo ni dhambi za Africa ambapo mtoto hawezi kutoa kinywaji kwa friji akanywa na kula bila mzazi kumpatia.......
Kwa nini Usiende Ulaya!!
Ukijumlisha gharama zoteee mzee UNAFUNGUA KAKAMPUNI KWA KWENYE BAHASHA..Nakuja ulaya
Ni kweli Afrika tuna fursa nyingi, ila kuna hatua ukifikia mifumo inakurudisha nyuma.Ukijumlisha gharama zoteee mzee UNAFUNGUA KAKAMPUNI KWA KWENYE BAHASHA..
Ni kwel mkuuNi kweli Afrika tuna fursa nyingi, ila kuna hatua ukifikia mifumo inakurudisha nyuma.
Labda Romania 😄Ulaya ipi?
Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi nilivotengeneza million 9 ndani ya mwezi mmoja.
Nimeanzia mbali sana kwani namkumbuka mwana FA na wimbo wake USIJE MJINI Leo hii nawaasa GenZ.. USIJE ULAYA. Kuna usemi usemaon huwezi kumtambua nyoka anapokuwa mjamzito, naamini sio rahisi sana kumtambua mkikutana porini.
Uzuri na utamu wa pesa wanaujua wenye pesa. Tajiri anaelewa kwa nini ni sahihi yeye kutumia milioni 2 mpaka 10 kwa siku moja tena kwa matumizi ya kula na kunywa tu.
Unaposikia fulan sijui Fernandez wa NALA alikataa mshahara wa zaidi ya 30 million kwa mwezi akaamua kurudi nyumbani masikini hawezi kuelewa hata umkate kichwa ...nmewahi kukaa mahali na mama mmoja aliacha kazi EAC ili awe free akaajiriwa sehemu analipwa haifiki hata robo na yuko na amani na furaha tele.
Kwa nini USIJE ULAYA, Asia, America.... Jibu rahisi Utajiri uko AFRICA 🌍 🌍 🌍. Rasilimali za Bure ziko Africa. Fursa za kutupa zipo Africa.
Kila leo walioko nje ya Africa wanaumiza kichwa kuweza kufanikisha kuwekeza Africa. Unaweza kuamua kwenda Ulaya likizo unarudi Africa kutembea. Wazungu wametuweza sana kutupymbaza waafrica tumekuwa watumwa wa fikra kwamba Ulaya Kuna maisha yaani Bora kuwa paka Russia kuliko kuzaliwa Africa 🌍.
Sio kweli narudia sio sahihi wametupumbaza na watazidi kutupumbaza. RIP JIWE/BULLDOZER/MWAMBA/CHUMA 17 March 2021. Nyota ilizima Gafla Giza likatawala. Hiki CHUMA sizani kama spea yake itakaa ipatikane tena !!!
Ukiwa na uwezo wa kupata 15k kwa siku Tanzania ni sawa na mtu anayepata 170k Marekani. Ngoja nikuchanganye kidogo uelewe. Barrack Obama akiwa Raisi alimwalika dinner Raisi wa India na ilitumika karibia 200$k ni kama 500m kwa chakula tu. Emmanuel Macron alipomwalika King Charles ilitumika karibia 560$K hizi ni zaidi ya 2 Billion za kitanzania.
Mama alipowaalika kufuturu ikulu mlitumia kiasi gani??
Tuendelee kwa nini Usiende Ulaya....Mwisho nitaeleza kwa nini kabla hujazeeka hakikisha angalau unatembelea nchi yeyote kati ya German, Spain, Italy, France, Poland, Russia, Norway, India, Japan, Iran, Saudi Arabia, China, Cuba, USA, Canada, Turkey Argentina, Cambodia na Australia.
Changamoto ya nchi nyingi hawajui kingereza, hii ni mada ingine ndefu sana niiruke ila kwa ufupi ukitembelea nchi isiyozungumza kingereza tembelea zaidi mji mkuu wa nchi utapata huduma nzuri.
Nichomekee tabia ya vijana wasomi wanaojiita chawa ni bomu kwa mustakabali wa nchi yetu ni kama kansa itatumaliza taratibu.
Tuendelee, Ni kweli kabisa maisha ya Ulaya au nchi nilizotaja hayafanani na ya Tanzania Kabisa, ni mazuri, uhakika, yanavutia, Usalama lakini nirudi nyuma kwa kuwa Tanzania haifanani na Ulaya hata kidogo kuifananisha ama kuilinganisha kijeshi, technology au vyovyote ni kutenda kosa la kukusudia....
Africa ina maisha ya aina yake ...Kuna siku nilisikia mchungaji mgogo anasimulia Kuna dhambi ni za Africa tu..... Mtoto akiwa na njaa Akala chakula kwenye friji bila kupewa anaitwa mwizi/Mdokozi .,, hizo ni dhambi za Africa ambapo mtoto hawezi kutoa kinywaji kwa friji akanywa na kula bila mzazi kumpatia.......
Kwa nini Usiende Ulaya!!
🥺😃Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi nilivotengeneza million 9 ndani ya mwezi mmoja.

Ni mleta uzi mwenyewe haelewi aelezee nini , isiusingizie ulanzi.Masikini Mimi na ulanzi niliokunywa hata sielewi nini unamaanisha 😭
Sasa mbona vitu tunatoa huko kuja kuuza na huko vinapatikana kwa bei chee mf.Magari, Simu n.kNitaendelea mchana Wacha niende kujenga nchi za wengine. Ukisikia mtu anatumia kwa siku 100-200$ ambayo ni kama 500k Tz utaona ni nyingi but kwa Marekani ni pesa ya kawaida.
Mfano Japan yen 1 ni Tz 16 na kawaida chakula unaweza kupata kwa 1300yen ni 20k Tz. Mwanafunzi anaweza kuwa anapewa boom la 3m ambapo kitanzania ni pesa nyingi lakini yeye kwa siku anatumia wastani wa 60k zingine anunue maji, alipie bundle na mambo yake mengine. Asipojibana 3m haimtoshi kwa mwezi......
Ndio maana watu walikimbilia kulipwa 4m Israel wengine 6m Saudi Arabia but kiuhalisia ni kama 500-700K kwa Tanzania.
Canada ukiwa na iyo I billion ya Tanzania wewe ni wa kawaida tu huwezi kufungua ata supermarket ni kaela kadogo kukuwezesha kuishi huku unatafuta kazi ya kufanya lakini bongo utaweza kuwa mwekezaji?..