Usije Ulaya

Katika nchi zote ulizotaja nimeishaenda 9 hapo na sio transit hapana
Mkuu kweli utajiri upo Africa umelala na huku nje tunakusanya tu

Angalia huyu jamaa anaejisifia kachukua eka 300 fasta Tz na ni mmarekani mweusi
Anajenga majumba ZnZ kama kichaa ila hela kazichumia πŸ‡ΊπŸ‡Έ
 
Nimeishia hapo kwenye nyoka akiwa na mimba!!
 
πŸ₯ΊπŸ˜ƒ
 
Kinachokuua wewe huko ulaya ni upweke tu!huko Kila kitu ni rasmi Tena kwa appointment hata ubishani wa.simba na yanga ni rasmi!bila rasmi hupati kitu!
 
Ushafeli mkuu we rudi tu nyumbani, kuanza kuwa motiveshino spika haitabadili hali uliyonayo kwa sasa, ..ni kupoteza muda
 
Sasa mbona vitu tunatoa huko kuja kuuza na huko vinapatikana kwa bei chee mf.Magari, Simu n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…