Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

Usijenge tena Ngorongoro hayo ni maeneo ya hakina Simba

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa.

Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate.

Masai hataki kuelewa, yeye nani.

Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
 
Hata hivyo masai ni wabishi sana hili zoezi la kuwaondoa lilianz muda mrefu nimeshangaa kuona bado masai idadi kubwa vile bado wapo eneo lile na wanasema wapo tayari kufia kwenye maeneo yao huyu mama anajaribu kumaliza kizazi hicho cha wamasai ngoja tuone kama ataweza kufanya kazi hii ambayo inatakiwa kufanywa na Mungu pekee
 
Masaai hataki kuelewa mjomba mliopo mnatosha hizo nyumba zilizopo mkirishina sawa.

Mnaotaka makazi mapya mtengewa maeneo mengine; huko maporini achieni himaya za wanyamapori hawana pakwenda msiwafuate.

Masai hataki kuelewa, yeye nani.

Hakuna kurudi nyuma Masaai lazima adhibitiwe
Tusome historia vizuri kuepusha upotoshaji wa wazi wazi kama huu
 
Tusome historia vizuri kuepusha upotoshaji wa wazi wazi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ulitakiwa kunipa, kama post yangu ina walakini nijufunze kitu kutoka kwako.

Kusema tusome historia, bila ya kunipa somo ya makosa yangu. Kwa taratibu zangu its a road guidance to nowhere, and I hate that king of advice.
 
Ila hao warabu wanaojenga mahoteli huko wao hawako eneo la akina Mkude Simba
 
Wakoloni walipofika kwa mara ya kwanza kwenye eneo la Afrika Mashariki, waliona nyasi zenye kupendeza zenye miti minene iliyotawanyika na kudhani kwamba eneo hilo lilikuwa msitu mkubwa, ambao sasa umeharibiwa na wenyeji. Walidhani kwamba watu hao walikuwa tishio kwa wanyamapori na walianzisha Hifadhi za Taifa na Hifadhi za "kuwalinda".

Hata hivyo ukweli ulikuwa tofauti kabisa.

Kwa maelfu ya miaka, Wamasai wameishi kwa amani na wanyamapori wa aina zote wa eneo hilo kupitia mtindo wa maisha wa kuhamahama.

Makundi ya miti yaliyotawanyika hayakuwa mabaki ya msitu, bali yalipandwa kimakusudi karibu na makazi kama ulinzi kutoka na makazi ya wanyamapori. Malisho ya mifugo ya kichungaji pia yananufaisha ikolojia ya Afrika Mashariki. Mifugo kama vile ng'ombe sio tu kwamba hutoa chanzo thabiti cha chakula katika eneo kavu ambapo kilimo kinaweza kutokuwa cha kutegemewa, lakini pia kinaweza kuyeyusha nyasi nyingi ambazo wanyamapori hawawezi.
Kwa upande mwingine, mifugo huacha kinyesi ambacho hurutubisha udongo na kuruhusu mimea mingine yenye lishe bora kukua na kulisha wanyamapori. Kwa hakika, imegundulika kwamba wanyamapori hufuata makundi ya mifugo kotekote!

Kati ya Wamasai na wanyama pori, mzozo mdogo sana kati ya binadamu na wanyamapori uliwahi kutokea, kwani Wamasai wanawaheshimu sana wanyama pori na wanafuga ng'ombe wao kwa amani. kwao wao wanyamapori ni zawadi kwa watu wote kutoka kwa Mungu, ili wasilazimike kuwinda huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamtaki watu waende Ngorongoro kwanini? mnaficha nini kule?

Hizi ngonjera zako za expansion ndio zinawafanya mzuie watu kwenda kule?

Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom