bora umemuambia,mwingine anaitwa moses nanyaro yuko udom ila jina lipo kwa waliokosa chuo
ni sawa lakini mtu kama huyo mara tu angeingia kwenye second round application na ku apply system ilikuwa inamwambia papo kwa papo kuwa kaisha kuwa admitted na hana haja ya kufanya application second round. nimeshuhudia watu wawili watatu wa aina hii. hata hivyo inaleta usumbufu - nimeshuhudia mtu akimwaga mchozi na baada ya muda akifurahi.