usijiangalie kwenye kioo angalia watoto!!

usijiangalie kwenye kioo angalia watoto!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wamama wengi ama wabinti wamekuwa sana busy na mambo ya kujiremba sikuhizi
mbaya zaidi kuna amabo wanaenda kwenye nyumba ndogo wakiacha watoto kwenye nyumba ya jirani
sijasema wewe vipi mbona hivyo!!ila ni vizuri ukajua umeumbwa kuwatunza kuwasaidia watoto wako
na swala la mumeo kwenda kwa kazini usichukulie poa kuanza kusahahu majukumu yako

wapo walio radhi watoto wao walie na nja lakini wanaishia kwenda kujipamba uswahilini na mabest
wao mwisho wanaishia kutafutiwa nyumba ndogo ...
Leo naomba kama una haka kamchezo acha kabisa ifike wakti na wewe uanze kujaliw watoto zako
jumatatu Njema
 
Taratibu wataerlewa tu hawa!...Kuna mwingine alimnunulia mtoto chips za shiing' alfu 5 na kumwacha kwa wahudumu wa chumba ili apate muda mrefu zaidi wa kujivinjari na jamaa!
 
Taratibu wataerlewa tu hawa!...Kuna mwingine alimnunulia mtoto chips za shiing' alfu 5 na kumwacha kwa wahudumu wa chumba ili apate muda mrefu zaidi wa kujivinjari na jamaa!

mkuu PK
hII ILINIUMA SANA MAJUZI TULIKUWA NA WAGENI TUKIWA TUNWATAFUTIA SEHEMU YA KULALA NIKAONA KATOTO KADOGO
KANAKUNYWA JUICE YA 250 NA CHAPATI ...ALAFU KANMA KAMETOKA KULIA UNAWEZA HISI KANALILIA MAMAKE AMEMWACHA KUMBE ANAMLILIA MAMAKE ANAVYOCHARAZWA NA JAMAA ANAVYOTANUA MIGUU YAKE KAMA ANATAFUTA CHAWA KWENYE NYWELE NA WENDA WAZIMU HUKO VYUMBANI LOH...SIKUZA MWISHO HIZ
 
Taratibu wataerlewa tu hawa!...Kuna mwingine alimnunulia mtoto chips za shiing' alfu 5 na kumwacha kwa wahudumu wa chumba ili apate muda mrefu zaidi wa kujivinjari na jamaa!

mmh! Hizo chps ale hadi ajisaidie hapohapo.
Ujumbe umefika.
 
Mbona umetuandama kiasi hiki.Tusipojipamba oho mvuto umekwisha mnaamia kwa wengine.Tukijipamba maneno.Mimi naona ni bpora uendane na vyote,ujipambe ili kumaintain position na pia watoto uwaangalie.
 
Back
Top Bottom