Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 24
- 47
Juzi nilimtembelea mama kwenye duka lake la nguo na mara moja nikaona wateja ni wachache,
Hapo hapo nikachukua simu na kupiga picha za nguo ili nipost fb marketplace,
Lakn baadae nikakumbuka hiki "Hoja sio kuwa bize hoja ni kuhakikisha mambo yanarekebishwa"
Yaani ni tatizo linatatuliwa,
Kosa ambalo mimi niliona ni mara moja kukimbilia kuchukua hatua,
Bila kwanza kujua
- nini hasa kinaendelea?
- kwa nini wateja hawapo? Je ni muda tu? Au ni siju kwa sababu ni jumapili?
- Au ni aina ya nguo ambazo wateja wanataka hapa hawazioni?
Kujiuliza maswali kama hayo kunafabya kuelewa swala lililopo ni lipi hasa,
Na hivyo kusaidia kwenye kuunda suluhisho,
LAkini kukimbilia kuja na najibu kabla ya kuelewa tatizo ni lipi hasa,
Ndio ile ambayo uwekezaje mkubwa umefanywa,
Pesa nyingi zimeenda,
Ndio mtu unagundua "umekosea" si unaona inavyouma?
Hii ndio akili inatakiwa kurekebisha mambo
Utulivu wa akili kwanza kuelewa tatizo kwa undani kabla ya kuruka na kuchukua hatua.