Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bebe Fanya uende kwenu mambeleeee!!!yaani wewe ni mzungu kabisaa!!!
 
Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
Imenifurahisha sana witty!![emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo baba/mama ni muirish? Utakuwa na rangi fulani "amazing" mtu wangu [emoji23][emoji23]
Baba ndo muirish....mama mbongo

Mmmh rangi wapi nimebeba ubongo kuanzia rangi hadi tabia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ndo niko real everywhere.... navyochonga humu na kitaa kiswalish wabongo wanadhan mi mswahili mwenzao, while ni muirish! basi tu wazazi wangu wanang'ang'ania hapa sijui wanakupendea nini!....
Akili zako unazijuaga mwenyewe nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo kalio ndio huniacha hoi
Baba ndo muirish....mama mbongo

Mmmh rangi wapi nimebeba ubongo kuanzia rangi hadi tabia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…