Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Waswahili wanasema,Ukificha upumbavu wako hakuna atakayejua kuwa wewe ni mpumbavu.

Kila mtu ana mapungufu yake,sio lazima uwaambie walimwengu kuwa wewe ni mjinga sana;kwa maana kila mtu ana ujinga wake.Ila mwerevu huficha ujinga wake asiwape watu ya kusema.Hususani kama hataki Kusemwa.
 
Back
Top Bottom